Leo ndio kilele cha Simba Day ambapo tunakitambulisha kikosi chetu ambacho tutakitumia katika mashindano yote tutakayoshiriki kwenye msimu mpya wa mashindano 2025/2026.
Kuna wachezaji wapya na wageni ambao wameingia kikosini na kila mmoja tayari amechagua namba ya jezi ambayo ataitumia katika msimu mzima wa mashindano.
Hizi hapa namba jezi za wachezaji wetu
Makipa
Moussa Camara (26)
Hussein Abel (28)
Yakoub Suleiman (22)
Walinzi
David Kameta (15)
Anthony Mligo (5)
Naby Camara (30)
Abdulazak Hamza (14)
Rushine De Reuck (23)
Karabou Chamou (2)
Vedastus Masinde (4)
Wilson Nangu (31)
Shomari Kapombe (12)
Viungo
Yusuph Kagoma (21)
Allasane Kante (8)
Awesu Awesu (33)
Morice Abraham (18)
Kibu Denis (38)
Hussein Daudi Semfuko (37)
Joshua Mutale (7)
Mzamiru Yassin (19)
Mohamed Bajaber (17)
Ladaki Chasambi (36)
Neo Gift Maema (35)
Jean Charles Ahoua (10)
Elie Mpanzu (34)
Washambuliaji
Steven Dese Mukwala (11)
Abdallah Seleman Mwalimu (40)
Jonathan Sowah (3)