Kikosi chetu kitaondoka Jumatano Alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba 15.
Hiki hapa kikosi kamili ambacho kitachosafiri:
Makipa
1. Aishi Manula
2. Moussa Camara
3. Ally Salim
Walinzi
4. Shomari Kapombe
5. Kelvin Kijiri
6. Mohamed Hussein
7. Valentin Nouma
8. Che Malone Fondoh
9. Karaboue Chamou
10. Abdurazack Hamza
Viungo
11. Augustine Okejepha
12. Debora Fernandes
13. Awesu Awesu
14. Yusuph Kagoma
15. Joshua Mutale
16. Edwin Balua
17. Fabrice Ngoma
18. Jean Chalres Ahoua
19. Kibu Denis
Washambuliaji
20. Steven Mukwala
21. Leonel Ateba
22. Valentino Mashaka