Highlights: Simba SC 3-1 Mbeya City

Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup baada ya kuifunga Mbeya City mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.

Tazama hapa kuona jinsi mabao hayo yalivyofungwa na mchezo mzima ulivyokuwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER