Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania uliopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Michael Isamuhyo umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.
Tazama jinsi matukio mbalimbali yaliyotokea pamoja na jinsi bao letu ambalo limefungwa na Clatous Chama lilivyokuwa.