Kikosi kinaelekea jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Sokoine siku ya Alhamisi saa 10 jioni.
Kikosi kinaondoka na wachezaji 22.
Hiki hapa kikosi kamili.
Makipa:
Ayoub Lakred, Ally Salim na Hussein Abel
Walinzi:
Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Hussein Kazi, Kennedy Juma na Che Malone Fondo
Viungo:
Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, Saidi Ntibazonkiza, Willy Onana, Clatous Chama, Abdallah Hamisi na Luis Miquissone.
Washambuliaji:
Jean Baleke, Moses Phiri, Denis Kibu, John Bocco na Shabani Chilunda.