Onyango, Taddeo warejea mazoezini

Mlinzi wa kati Joash Onyango na kiungo mkabaji Taddeo Lwanga, wamerejea mazoezini baada ya hali zao kiafya kutengemaa kutokana na majeraha waliyopata kwenye mchezo wetu uliopita. Wawili hao waligongana kichwani katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi…