Chama mchezaji bora mwezi Aprili

Kiungo mshambuliaji, Clatous Chama amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi wa Aprili (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Chama raia wa Zambia amewashinda mlinda mlango Aishi Manula na mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ambao aliingia nao…

Kapombe bado yupo sana

Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu utakaoendelea kumuweka klabuni hadi mwaka 2024. Kapombe ni miongoni mwa wachezaji ambao tangu waliposajiliwa mwaka 2017 wamefanikisha kutwaa ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo huku tukielekea kuchukua kwa…