Hatufungwi mara mbili na Yanga

Kaimu Ofisa Habari wa klabu, Ally Shatry 'Chico' amesema maandalizi kuelekea mchezo wetu wa ligi kuu dhidi ya Yanga yanaendelea vizuri na wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri. Chico amesema tunakumbuka tulipoteza kwa bao moja dhidi ya Yanga katika…

Damons kocha mpya wa makipa

Klabu yetu imemtangaza Kocha Mpya wa Makipa, Tyron Damons raia wa Afrika Kusini (43) akichukua nafasi ya Milton Nionov ambaye mkataba wake ulisitishwa miezi miwili iliyopita. Kocha Damons ana Diploma C na D ya Shirikisho la Soka Barani Afrika…

Hivi hapa viingilio Simba, Yanga

Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya mchezo wetu dhidi ya watani Yanga SC utakaopigwa Desemba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari uongozi umeweka hadharani viingilio. Viingilio vimepangwa Sh 5,000 kwa viti vya kijani, Viti vya Bluu na machungwa Sh…

Pablo: Malengo yetu yametimia

Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema amefurahi timu kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwani ndiyo yalikuwa malengo yetu. Pablo amesema tuliingia kwenye mchezo wa leo na mbinu za kuhakikisha hatuwapi nafasi ya kutufunga mapema kwani wangetutoa…

Tumejipanga kivita nchini Zambia

Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Jumapili nchini Zambia utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuwakabili. Pablo amesema anajua Red Arrows wataingia uwanjani kutaka kupindua matokeo lakini tuna mtaji…