Mugalu ang’ara tuzo za VPL Julai

Mshambuliaji Chris Mugalu amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wa mwezi Julai. Mugalu amekuwa kwenye kiwango bora ndani ya mwezi Julai ambapo amefunga mabao matano katika mechi tano tulizocheza. Mugalu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia…