Gomes atoboa siri ya ushindi ugenini

Kocha Mkuu Didier Gomes, ameweka wazi kuwa benchi la ufundi liliwaelekeza wachezaji kucheza kwa nidhamu na kutumia nafasi zitakazopatikana ili kupata ushindi ugenini na jambo hilo limetokea. Gomes amesema katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika hasa za ugenini…