Simba yapoteza Ugenini

Kikosi chetu kimepoteza kwa mabao 4-0 mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs uliopigwa katika Uwanja wa FNB jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tukiwa tuna kazi kubwa ya kufanya kuvuka hatua…