Hitimana kocha mpya Simba

Klabu ya Simba imeimarisha benchi lake la ufundi kwa kumteua Thierry Hitimana (42), kuwa kocha msaidizi wa klabu. Thierry ni mmoja wa walimu wanaoheshimika nchini Rwanda, ambaye pia amewahi kuwa msaidizi wa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomez, wakati…

Taddeo arejea mazoezini

Baada ya kupewa mapumziko ya wiki ya tatu kutokana na kuwa majeruhi, Kiungo Taddeo Lwanga leo amerejea mazoezini rasmi pamoja na wenzake. Taddeo kwa sasa yuko fiti na yupo jijini Arusha akijifua pamoja na wachezaji wenzake kujiandaa na msimu…

Simba kamili kuanzia kesho

Wachezaji wote wa Simba waliokuwa kwenye timu mbalimbali za taifa wanatarajiwa kuanza kurejea nchini na kuingia kambini kufikia hadi kufikia kesho Alhamisi Septemba 9. Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ezekiel Kamwaga,…