Mashabiki wetu wamejitokeza kwa wingi na wameujaza Uwanja mzima wa Benjamin Mkapa wenye uwezo wa kuingiza watu 60,000 walioketi.
Hadi saa saba mchana uwanja ulikuwa tayari umejaa huku mashabiki wengine wengi wakiwa bado wapo nje.
Tumekuwekea picha mbalimbali zilizopigwa na camera kutokea juu (drone) kuona mandhari ya uwanja ulivyopendeza.