Taddeo arejea mazoezini

Baada ya kupewa mapumziko ya wiki ya tatu kutokana na kuwa majeruhi, Kiungo Taddeo Lwanga leo amerejea mazoezini rasmi pamoja na wenzake.

Taddeo kwa sasa yuko fiti na yupo jijini Arusha akijifua pamoja na wachezaji wenzake kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

Kikosi chetu kipo jijini humo kwa kambi ya takribani wiki mbili kabla ya kurejea Dar es Salaam tayari kwa Tamasha la Simba Day litakalofanyika Septemba 19, mwaka huu.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER