Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga

Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi 2025/2026.

Kocha Fadlu Davids amewaanzisha nyota wapya watatu tuliowasajili msimu ambao ni Naby Camara, Rushine De Reuck na Allasane Kante.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Naby Camara (30), Abdulazak Hamza (14), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Allasane Kante (8), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba:

Yakoub Suleiman (22), Ladaki Chasambi (36), Anthony Mligo (5), Karaboue Chamou (2), Wilson Nangu (31), Mzamiru Yassin (19), Neo Maema (35), Seleman Mwalimu (40), Morice Abraham (18), Joshua Mutale (7).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER