VIDEO: Alichosema Ahmed baada ya timu kuelekea Misri

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema wachezaji wakigeni tuliowasajili wataungana na wenzao kambini nchini Misri baada ya kukamilisha taratibu za vibali na hati za kusafiria.

Ahmed ameyasema hayo wakati kikosi kikiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere kuelekea nchini Misri huku akiweka wazi tutakuwa na wiki tano za maandalizi ya msimu (Pre Season).

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed hakusita kumwagia sifa mlinzi wetu mpya wa Rushine De Reuck tuliyemsajili kutoka Mamelodi Sundowns.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER