LIVE: Mkutano na Waandishi wa Habari

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally anaongea na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Fuatilia Mubashara Mkutano huu kupitia App hii kutoka katika Ofisi zetu Masaki, Dar es Salaam.

https://www.youtube.com/live/Z9I_bfhe7os?si=58hfbluCliKY3OXc

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER