Tumepoteza mechi ya kwanza ya fainali ugenini

Mchezo wetu wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane uliopigwa Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-0.

Mamadou Camara aliipatia Berkane bao la kwanza dakika ya nane kwa kichwa baada ya kumalizia mpira wa kona uliopigwa na mlinzi Hamza Elmoussoui.

Oussame Lamlioui aliwapatia Berkane bao la pili dakika ya 15 baada ya kuwazidi ujanja walinzi wetu akiwa ndani ya 18.

Kipindi cha pili tulirudi kwa kuongeza umakini kuhakikisha hatufanyi makosa ambayo yataweza kutuletea madhara.

Mchezo wa marudiano utapigwa nchini Tanzania, Mei 25 ambao mshindi wa jumla utatawazwa kuwa bingwa.

X1: Munir, Dayo, Tahif, Elmoussoui, Assal, Camara, Lebhiri, Khairi (Zhoudi 74′), Mehri, Riahi (Elmorabit 74′ Santos 86′) Lamlioui

Waliionyeshwa kadi:

X1: Camara, Kapombe, Zimbwe Jr, Chamou, Hamza (Che Malone 22′), Kagoma, Kibu (Nouma 45′), Ngoma, Ateba, Ahoua (Fernandez 90+4′)Mpanzu (Mutale 80′)

Waliionyeshwa kadi:

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER