Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Manispaa ya Berkane tayari kwa mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakaopigwa saa nne usiku.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.