Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Mashujaa Queens

Leo saa 10 jioni kikosi cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mashujaa Queens katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 4-3 iliyopata dhidi ya JKT Queens wiki iliyopita.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (2), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Precious Christopher (8), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafari (24), Aisha Mnuka (10).

Wachezaji wa Akiba:

Emeliana Mdimu (15), Josephine Joseph (6), Asha Rashid (14), Janeth Nyagali (12), Jackline Albert (16), Wilfrida Ceda (40), Ritticia Nabbosa (27), Mwanahamisi Omary (7), Shelda Boniface (9).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER