Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Tabiri kikosi ambacho unaamini kocha Fadlu Davids atakipanga kwa ajili ya mchezo wa leo.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.