Kikosi chetu kimewasili salama katika mji wa Durban tayari kwa mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utakaopigwa Jumapili saa 10 jioni katika Uwanja wa Moses Mabhida.