Mchezo wetu wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini utapigwa Aprili 20.
Stellenbosch wamepata nafasi hiyo baada ya kufanikiwa kuitoa Zamalekh kwa kuifunga bao moja
Huu utakuwa mchezo muhimu kwetu baada ya kupita miaka 32 kucheza hatua ya nusu fainali,