Nyota 22 kuondoka alfajiri kuifuata Al Masry nchini Misri

Kikosi chetu kitaondoka kesho alfajiri kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry utakaopigwa Aprili 2.

Hiki hapa kikosi kamili kitakachosafiri:

Makipa:

Moussa Camara, Ally Salim na Hussein Abel

Mabeki:

Karaboue Chamou, Abdurazak Hamza, Mohamed Hussein, Shomari Kapombe, Valentine Nouma, David Kameta na Kelvin Kijili

Viungo:

Yusuphu Kagoma, Fabrice Ngoma, Elie Mpanzu, Debora Fernandes, Ladaki Chasambi, Kibu Denis Joshua Mutale, Augustine Okejepha, Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu.

Washambuliaji:

Leonel Ateba na Steven Mukwala.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER