Simba Queens leo saa 10 itashuka katika dimba la Kituo cha TFF, Kigamboni kuikabili Mashujaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholas (26), Esther Mayala (23), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafar (24), Precious Christopher (8)
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Dotto Evarist (2), Emeliana Mdimu (15), Marry Saiki (19), Ritticia Nabbosa (17), Asha Rashid ‘Mwalala’ (14), Shelda Boniface (9), Mwanahamisi Omary (7), Jackline Albert (16).