Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Ken Gold

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Tabiri kikosi ambacho unaamini kocha Fadlu Davids atakipanga kwa ajili ya mchezo wa leo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER