VIDEO: Kocha Fadlu asema tupo tayari kuikabili Constantine Kesho

Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya kupambana na CS Constantine katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa kesho saa moja usiku kwa saa za Tanzania.

Kocha Fadlu amesema Leo tutapata nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho na kurekebisha mapungufu yetu ili kesho tufanye vizuri na kuhakikisha tunapata matokeo chanya.

Tazama video hii hadi mwisho Kocha Fadlu amewapongeza wapinzani wetu Constantine kwa mapokezi mazuri waliyotupa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER