Leo saa 10:15 Kikosi kitashuka katika uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hiki hapa Kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Joshua Mutale (7), Augustine Okejepha (25), Steven Mukwala (11), Awesu Awesu (23), Ladack Chasambi (36).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim(1),Mohamed Hussein (15), Hussein Kazi (4), Mzamiru Yassin (19), Kibu Dennis (38), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba(13), Jean Ahoua (10), Shadrack Daniel (52), Benjamin William (50).