Timu yarejea, yaingia kambini moja kwa moja

Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Mbeya baada ya jana kucheza mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi Tanzania Prisons na kuibuka na ushindi wa bao moja.

Baada ya kuwasili kikosi kimeingia kambini moja kwa moja kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi unaofuata dhidi ya Namungo utakaopigwa Ijumaa saa 10 jioni Uwanja wa KMC Complex.

Wachezaji wapo kwenye hali nzuri na hakuna aliyepata maumivu kwenye mchezo wa jana ambayo yatamfanya kukosa maandalizi ya mechi ijayo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER