Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Tanzania Prisons

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Sokoine kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Tabiri kikosi ambacho unaamini kocha Fadlu Davids atakipanga kwa ajili ya mchezo wa leo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER