Hivi hapa Viingilio vya mchezo dhidi ya Yanga

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wetu wa Ligi unaofuata dhidi ya Yanga utakaopigwa Oktoba 19 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni.

Ahmed ametangaza viingilio hivyo akiwa kwenye uzinduzi wa Tawi la Simba Mongolandege Ukonga, Dar es Salaam.

Hivi hapa Viingilio vilivyotangazwa:

VIP A – 50,000
VIP B – 30,000
VIP C – 20,000
ORANGE – 10,000
MZUNGUKO – 5,OOO

Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwa njia ya mtandao na vituoni.

Ahmed amewasisitiza mashabiki hasa wa Simba kununua tiketi mapema ili kuepusha usumbufu usio wa lazima.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER