Droo ya Kombe la Shirikisho kupangwa Leo Misri

Droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika itapangwa leo saa saba mchana Makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) lililopo Cairo, Misri.

Simba tupo katika poti la kwanza sambamba na Mabingwa Zamalek, RS Berkane na USM Alger.

Pot 1:

Zamalek SC (Egypt)
RS Berkane (Morocco)
Simba SC (Tanzania)
USM Alger (Algeria)

Pot 2:

ASEC Mimosas (Ivory Coast)
Stade Malien (Mali)
Al Masry (Egypt)
CS Sfaxien (Tunisia)

Pot 3:

Enyimba FC (Nigeria)
ASC Jaraaf (Senegal)

Pot 4:

CD Lunda Sul (Angola)
FC Bravos (Angola)
CS Constantine (Algeria)
Orapa United (Botswana)
Black Bulls (Mozambique)

Maneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally atawaongoza Wanasimba kufuatilia upangaji wa droo hiyo katika Tawi la Asili ya Simba lililopo Kawe jijini Dar es Salaam tukio ambalo litarushwa moja kwa moja kupitia kwenye App hii.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER