Leo saa mbili usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli kuikabili Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Mshambuliaji Leonel Ateba ataongoza mashambulizi kwa mara ya kwanza katika mechi rasmi baada ya kufanya hivyo kwenye mechi za mbili za kirafiki zilizopita.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazak Hamza (14), Che Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Edwin Balua (37), Debora Fernandez (17), Leonel Ateba (13), Jean Ahoua (10), Joshua Mutale (26).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Karaboue Chamou (2), Kelvin Kijili (33), Fabrice Ngoma (6), Awesu Awesu (23), Augustine Okajepha (25), Valentino Mashaka (27), Kibu Denis (38), Steven Mukwala (11)