Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili PVP Buyenzi

Leo saa sita na nusu mchana kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila kuikabili PVP Buyenzi kutoka Burundi katika mchezo wa mwisho wa kundi B wa Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki.

Kocha Juma Mgunda amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Kawempe Muslim.

Mgunda amewaanzisha Esther Mayala, Saiki Mary na Daniela Ngoyi na kuwapumzisha Fatuma Issa, Wincate Kaari na Amina Bilali.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Caroline Rufa (18), Esther Mayala (23), Ruth Ingosi (20), Daniela Ngoyi (22), Violeth Nicholaus (26), Saiki Mary (19), Elizabeth Wambui (4), Ritticia Nabbosa (13), Jentrix Shikangwa(25),Vivian Corazone (17), Precious Christopher (8).

Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Dotto Evarist (2), Fatuma Issa (5), Emeliana Ndimu (15), Jackline Albert (16), Asha Djafari (24), Amina Bilali (11), Asha Rashid (4), Shelda Boniface (9).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER