Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa Jumapili.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.