Hivi hapa Viingilio vya Mchezo wa Ngao ya Jamii

Alhamisi saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii.

Viingilio vya mchezo huo mkubwa ambao unasubiriwa kwa hamu na wadau wengi wa soka tayari vimewekwa wazi.

Viingilio hivyo ni kama ifuatavyo:

VIP A Sh 50,000
VIP B Sh 30,000
VIP C Sh 20,000
Machungwa Sh 10,000
Mzunguko Sh 5,000

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER