Leo katika kilele cha Simba Day tumetambulisha kikosi chetu tukakachokitumia katika michuano mbalimbali katika msimu wa mashindano 2024/25.
Hiki hapa kikosi chetu
Makipa
1. Ally Salim 1
2. Hussein Abel 30
3. Ayoub Lakred 22
4. Mousa Camara 26
Walinzi
5. Shomari Kapombe 12
6. Mohamed Hussein 15
7. Kelvin Kijili 24
8. David Kameta 3
9. Karaboue Chamou 2
10. Che Malone Fondoh 20
11. Abdulrazack Hamza 14
12. Hussein Kazi 4
13. Valentine Nouma 29
Viungo
14. Fabrice Ngoma 6
15. Mzamiru Yassin 19
16. Augustine Okajepha 25
17. Debora Fernandes 17
18. Jean Charles Ahoua 10
19. Saleh Karabaka 16
20. Edwin Balua 37
21. Ladaki Chasambi 36
22. Awesu Awesu 23
23. Omari Omari 8
24. Kibu Denis 38
Washambuliaji
25. Steven Mukwala 11
26. Freddy Michael 18
27. Valentino Mashaka 27