Highlights: Simba 4-1 Geita Gold

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold uliopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi umemalizika kwa kuibuka na ushindi mabao 4-1.

Tazama jinsi mabao yote yalivyofungwa na mchezo mzima ulivyokuwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER