Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar yamekamilika.
Mgunda amesema utakuwa mchezo mgumu na tunawaheshimu Kagera kutokana na ubora walionao lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.
Tazama video hii hadi mwisho mlinzi wa kati Hussein Kazi nae ameongea kwa niaba ya wachezaji.