Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mtibwa Sugar

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kaimu kocha Mkuu Juma Mgunda amewanzisha Mzamiru Yassin na Said Ntibazonkiza wakichukua nafasi za Babacar Sarr na Kibu Denis ambaye ni majeruhi.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Hussein Kazi (16), Che Malone (20), Mzamiru Yassin (19), Willy Onana (7), Fabrice Ngoma (6), Freddy Michael (18), Saidi Ntibazonkiza (10), Edwin Balua (37).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), David Kameta (3), Kennedy Juma (26), Henock Inonga (29), Abdallah Hamis (13), Sadio Kanoute (8), Saleh Karabaka (23), Ladack Chasambi (36), Pa Omar Jobe (2)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER