Kikosi kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa moja usiku kuikabili Tembo FC kutoka Tabora katika mchezo wa raundi ya tatu Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Mshambuliaji mpya Fred Michael amepangwa kuongoza mashambulizi huku winga Edwin Balua nae akianza kwa mara ya kwanza.
Kikosi Kamili kilivyopangwa:
Hussein Abel (30), Shomari Kapombe (12), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi (16), Che Malone (20), Edwin Balua (37), Sadio Kanoute (8), Fred (18), Ntibazonkiza (10), Miquissone (11)
Wacheaji wa Akiba
Ahmed Feruz (31), Mohamed Hussein (15), Saleh Karabaka (23), Ladack Chasambi (36), Pa Omar Jobe (2)