Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Yanga Princess

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Yanga Princess katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL).

Hiki hapa kikosi cha Queens kilichopangwa na Kocha Juma Mgunda.

Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Daniella Ngoyi (22), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Danai Bhobo (40), Ritticia Nabbosa (27), Aisha Juma (10), Asha Djafar (24), Elizabeth Wambui (4).

Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (30), Diana Mnali (15), Mwanahamisi Omary (7), Koku Kipanga (19), Esther Mayala (23), Olaiya Barakat (9), Joanitah Ainembabazi (25), Asha Rashid (14), Diakiese Kaluzodi (13).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER