Habari Picha: Mazoezi ya leo jioni Mo Arena

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi leo jioni kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos kutoka Zambia utakaopigwa Septemba 16.

Mazoezi haya yameanza jana katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena na wachezaji wameshiriki kikamilifu.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati wachezaji wakiwa mazoezini.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER