Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manungu Complex saa 10 jioni kuikabili Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko machache kikosini ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii siku ya Jumapili.
Hiki hapa kikosi.
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone Fondoh (20), Sadio Kanoute (8), Clatous Chama (17), Fabrice Ngoma (6), Jean Baleke (4), Dennis Kibu (38), Essomba Onana (7).
Wachezaji wa Akiba
Hussein Abel (30), Israel Mwenda (5), Hussein Bakari (16), David Kameta (3), Mzamiru Yassin (19), Saidi Ntibazonkiza (10), Luis Miquissone (11), John Bocco (22), Moses Phiri (25).