Katika kuonyesha kufurahia mazingira mazuri ya kambi wachezaji wetu wameingia kwa kucheza nyimbo katika Hoteli tuliyofikia hapa Ankara nchini Uturuki.
Tazama hadi mwisho kuona jinsi wachezaji walivyokuwa na furaha, Mzamiru anaonekana mpole lakini yumo, Inonga yeye hana mambo mengi.