Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetangaza majina ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali wakati msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23 ukielekea ukingoni.
Tumetoa wachezaji wanaowania tuzo karibia katika kila category kama ifuatavyo:
Mchezaji Bora
๐น Mzamiru Yassin
๐น Saido Ntibazonkiza
Mlinda mlango bora
๐นAishi Manula
Beki Bora
๐น Henock Inonga
๐น Shomari Kapombe
๐น Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’
Kiungo Bora
๐น Mzamiru Yassin
๐น Clatous Chama
๐น Saido Ntibazonkiza
Kocha Bora
๐น Roberto Oliviera ‘Robertinho’