Fuatilia Mubashara kupitia App hii mchezo wa mwisho wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League kati yetu na Ceasiaa Queens utakaopigwa Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mkwawa mkoani Iringa kuanzia saa 9:30 Alasiri.
https://www.youtube.com/live/UwrW9LgfpVY?feature=share