Kikosi chetu kesho saa 10 alfajiri kitasafiri kuelekea nchini Guinea tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya utakaopigwa Jumamosi saa moja usiku.
Kikosi hicho kitaondoka na jumla ya wachezaji 24.
Makipa
Aishi Manula
Beno Kakolanya
Ally Salim
Walinzi
Shomari Kapombe
Israel Patrick
Gadiel Michael
Mohamed Hussein
Henock Inonga
Joash Onyango
Erasto Nyoni
Kennedy Juma
Mohamed Ouattara
Viungo
Ismael Sawadogo
Sadio Kanoute
Mzamiru Yassin
Nassor Kapama
Clatous Chama
Pape Sakho
Kibu Denis
Washambuliaji
John Bocco
Moses Phiri
Jean Baleke
Habibu Kyombo
Mohamed Mussa