Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hiki hapa kikosi kilichopangwa:
Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Mohamed Ouattara (33), Ismael Sawadogo (3), Kibu Denis (38), Erasto Nyoni (18), John Bocco (22), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39).
Wachezaji wa Akiba
Beno Kakolanya (30), Ally Salim (1), Gadiel Michael (2), Nassor Kapama (35), Augustine Okrah (27), Mohamed Mussa (14), Habibu Kyombo (32), Jimmyson Mwanuke (21).