Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kikosi kamili kilivyopangwa
Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Mohamed Ouattara (33), Sadio Kanoute (13), Habibu Kyombo (32), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba
Beno Kakolanya (30), Jimmyson Mwanuke (21), Gadiel Michael (2), Erasto Nyoni (18), Kennedy Juma (26), Nassor Kapama (35), Pape Sakho (10), Kibu Denis (38).